
Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazoundwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
- Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
- Makamu wa Kwanza wa Rais
- Makamu wa Pili wa Rais
- Baraza la Mapinduzi
- Mwanasheria Mkuu wa Serikali
- Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

Mhe. Othman Masoud OthmanMakamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Mhe. Hemed Suleiman AbdullaMakamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Mawaziri

Mhe. Harusi Said SuleimanWaziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais

Mhe. Mwl. Haroun Ali SuleimanWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora

Mhe. Dkt. Saada Mkuya SalumWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Fedha na Mipango

Mhe. Nassor Ahmed MazruiWaziri wa Afya

Mhe. Shamata Shaame KhamisWaziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo

Mhe. Lela Muhamed MussaWaziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali

Mhe. Shaib Hassan KaduaraWaziri wa Maji, Nishati na Madini

Mhe. Suleiman Masoud MakameWaziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi

Mhe. Riziki Pembe JumaWaziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Mhandisi Zena Ahmed SaidKatibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi

Mhe. Hamza Hassan JumaWaziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi

Mhe. Mudrik Ramadhan SoragaWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uekezaji

Mhe. Masoud Ali MohammedWaziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ

Mhe. Tabia Maulid MwitaWaziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo

Mhe. Omar Said ShaabanWaziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda

Mhe. Simai Mohammed SaidWaziri wa Utalii na Mambo ya Kale

Mhe. Rahma Kassim AliWaziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi

Mhe. Dkt. Khalid Salum MohamedWaziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

Mhe. Dkt. Mwinyi Talib HajiMwanasheria Mkuu wa Serikali
Naibu Mawaziri

Mhe. Ali Suleiman AmeirNaibu Waziri, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango

Mhe. Ali Abdulgullam HusseinNaibu Waziri, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

Mhe. Anna Athanas PaulNaibu Waziri, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto

Mhe. Nadir Abdillatif Yussuf AlwardyNaibu Waziri, Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi

Mhe. Juma Makungu JumaNaibu Waziri, Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi

Mhe. Hassan Khamis HafidhNaibu Waziri, Wizara ya Afya

Mhe. Shaaban Ali OthmanNaibu Waziri, Wizara ya Maji, Nishati na Madini