Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Quick Links
Ikulu Zanzibar
Tanzania
Baraza la Wawakilishi
Bunge Tanzania
Zanzibar Electoral Commission
National Electoral Commission

Zanzibar
Zanzibar
News Highlights
Welcome Message from President
The Wesite is Under ConstructionRead more...
Ujenzi wa miji mipya ya kisasa inayotumia teknolojia mpya katika kurahisisha maisha
Date Posted:2017-04-27 08:22:12
AZMA ya Kampuni ya ‘Engineering Consultants Group’ kutoka Misri ya kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika sekta ya ujenzi wa miji mipya ya kisasa inayotumia teknolojia mpya katika kurahisisha maisha ya wakaazi wake ‘Smart City’ itasaidia kufikia lengo la uje
Read more...
Pongezi zimetolewa kwa Watanzania wote kwa kutimiza miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Date Posted:2017-04-27 08:15:14
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dk. John Pombe Mgafuli amewahakikishia wananchi wa Tanzania kuwa yeye na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein wataendelea kuulinda Muungano kwa nguvu zao zote. Rais Magufuli aliya
Read more...
Hafla ya Uhamasishaji na Uchangiaji Madawati ya Skuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Date Posted:2017-04-24 08:05:20
JUMLA ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 2.8 zimekusanywa kwa ajili ya ununuzi wa madawati kwa skuli za Msingi na Sekondari za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar huku ikiwa bado wadau wengine wanaendelea kuhamasishwa kuchangia. Hafla ya Uhamasishaji na Uchangiaji Madawati ya Skuli za Serikali ya Mapi
Read more...
Balozi Seif Awaasa Wafanyakazi Wanapaswa Kujituma Katika Majukumu Yao ya Kazi.
Date Posted:2017-04-21 07:53:35
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Wafanyakazi wanapaswa kujitahidi kutekeleza majukumu yao ya Utumishi wa Umma kwa kufanya kazi kizalendo na ushirikiano uliotukuka ili kujijengea mazingira bora ya hatma yao ya baadae. Alisema tabia hiyo njema itawapa heshima kubwa
Read more...
Previous News

Official Reports
A Bill for an Act to repeal the Zanzibar Electoral Commission Act, No. 9 of 1992-Date Posted: 17-02-2017
Mswada wa Sheria ya kufuta Sheria ya Tume ya Uchaguzi Nam, 9 ya 1992-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA KUHUSIANA NA MSWADA WA SHERIA YA KUFUTA SHERIA YA TUME YA UCHAGUZI NAM.9 YA 1992 NA KUTUNGA SHERIA YA KUANZISHA AFISI YA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR-Date Posted: 17-02-2017
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, MHE. AL HAJJ DK. ALI MOHAMED SHEIN, KATIKA BARAZA LA IDD EL FITRI JULAI, 2016 (1 SHAWWAL, 1437)-Date Posted: 07-07-2016
Hotuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017. -Date Posted: 20-05-2016

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo