Drop Down Menu
FOR VISITORS
Tourism
Work in Zanzibar
Investment
Business
Study in Zanzibar
Immigration

FOR CITIZEN
Travel Documents
Zanzibar ID
National ID
Social Security
Driving Licence
Health System
E-Government
Zanzibar Port
Municipality

Zanzibar
Zanzibar
News Highlights
Welcome Message from President
The Wesite is Under ConstructionRead more...
SERIKALI KUTOA MIKOPO KWA WANAFUNZI WAPYA 1600
Date Posted:2013-04-16 08:57:02
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ya Zanzibar inatarajia kutoa mikopo kwa wanafunzi wapya 1600 kwa mwaka 2013/2014 ili kukabiliana na ongezeko la idadi kubwa ya wanafunzi wanaopata sifa za kuendelea na masomo ya elimu ya juu. Hayo yameelezwa jana katika kikao cha uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafun
Read more...
“NGUO FUPI SIO SABABU YA ONGEZEKO LA UKIMWI,” ASEMA WAZIRI JUMA DUNI
Date Posted:2013-04-16 08:52:26
Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni Haji, amesema kuwa tatizo la kuongezeka kwa maradhi ya ukimwi Zanzibar halitokani na uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake, bali jamii inashindwa kupambana na vita vya nafsi. Waziri Haji, aliyasema hayo jana wakati akijibu suala la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nass
Read more...
SERIKALI IWEKE MUONGOZO WA KUSIMAMIA MAJUKUMU YA SERIKALI ZA MITAA
Date Posted:2013-04-15 22:38:54
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeshauriwa kutoa muongozo rasmi juu ya majukumu ya serikali za mitaa, kwa lengo la kutatua migongano kati ya utendaji wa Masheha, Madiwani na baadhi ya watendaji wa serikali za mitaa katika kuongeza ufanisi wa utendaji wa kazi zao. Ushauri huo umetolewa wakat
Read more...
VYOMBO VYA DOLA VIIMARISHE UDHIBITI WA MADAWA YA KULEVYA
Date Posted:2013-04-12 21:02:42
Jumla ya kesi sita za waingizaji wa dawa za kulevya zimeripotiwa zilizomhusisha mwanamke mmoja na wanaume watano ambapo watuhumiwa wanne wako rumande na kesi zao zinaendelea. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamo wa Kwanza Mhe. Fatma Fereji alieleza hayo wakati akijibu suala la Mhe. Saleh Nassor alietaka
Read more...
Previous News

Official Reports
ILANI YA CCM 2012-Date Posted: 10-04-2013
MKUZA II Final-Date Posted: 24-03-2013
20070221 pau poverty red ziddy policy on girls education in zanzibar paper-Date Posted: 24-03-2013
Zanzibar 2008 country progress report-Date Posted: 24-03-2013
Zanzibar Vision 2020-Date Posted: 24-03-2013

Research

Procedure
Research in Zanzibar
Publications
Conferences
PROJECTS

Ongoing Projects
Upcomming Projects
Previous Projects
Reports in Projects
Publication from Projects
GALLERY

Government Activies
Kilimo